- Upande wa mzazi
- Upande wa mwanafunzi
- Upande wa mwalimu
- Upande wa serikali
- Upande wa lugha ya kufundishia
- Kumpatia mwanae mahitaji ya msingi kama vile; chakula, mavazi, malazi na vifaa vya shule.
- Kumtia moyo na hamasa ya kuhudhuria shule kwa kumweleza manufaa yake hapo baadaye.
- Kufuatilia maendeleo ya mwanae
- Kutoa ushirikiana kwa mwalimu wa mwanae.
- Kushiriki katika mipango ya kitaaluma shuleni
...............Ni ushauri tu.................
Mzazi-Mwanafunzi-Mwalimu-Serikali-Lugha ya kufundishia vifanye kazi kama timu ufaulu utaongezeka.......".MWALIMU MZOEFU DARASANI"..........!!!