Saturday, September 28, 2013

KUSHUKA KWA UFAULU DARASA LA SABA -2012 NA NAMNA YA KUPANDISHA:

UNAFAHAMU NINI.......KUNA MAMBO MAKUU MATANO YA MSINGI YAFUATAYO:-  
  1. Upande wa mzazi
  2. Upande wa mwanafunzi
  3. Upande wa mwalimu
  4. Upande wa serikali
  5. Upande wa lugha ya kufundishia
LEO NIZUNGUMZIE UPANDE WA MZAZI KAMA SEHEMU MOJAWAPO YA MAFANIKIO YA MWANAFUNZI. MZAZI ANAPASWA KWAJIBIKA KWA MTOTO WAKE KATIKA HAYA YAFUATAYO:-
  •  Kumpatia mwanae mahitaji ya msingi kama vile; chakula, mavazi, malazi na vifaa vya shule.
  • Kumtia moyo na hamasa ya kuhudhuria shule kwa kumweleza manufaa yake hapo baadaye.
  • Kufuatilia maendeleo ya mwanae
  • Kutoa ushirikiana kwa mwalimu wa mwanae.
  • Kushiriki katika mipango ya kitaaluma shuleni
  TUKUTANE KESHO, KWA UPANDE WA MWANAFUNZI.......
...............Ni ushauri tu.................
Mzazi-Mwanafunzi-Mwalimu-Serikali-Lugha ya kufundishia vifanye kazi kama timu ufaulu utaongezeka.......".MWALIMU MZOEFU DARASANI"..........!!!

No comments:

Post a Comment