Sunday, January 5, 2014

ANZA MWAKA KWA KUJALI AFYA YAKO

HEBU FANYA HII KATIKA KUANDAA CHAI YAKO YA KILA SIKU:
Ili kuepukana na maradhi ya figo,kisukari na shinikizo la damu, kunywa chai yako kila siku kwa kutumia bidhaa hizi zisizo na madhara yoyote, kwa afya yako:-
UWE NA:-

  1. Asali badala ya sukari
  2. Soya au michaichai badala ya majani ya chai
MAANDALIZI YA CHAI:-
  1. Chemsha maji weka katika chupa ya chai
  2. Mimina maji katika kikombe cha chai
  3. Unga soya kidogo na kisha unga asali.Tayari chai yako nzito kwa kunywa
N/B:- Achana na matumizi ya sukari na majani ya chai
          ..............Ni ushauri tu................Na mwalimu mzoefu darasani...!!

No comments:

Post a Comment