Wenyeji wa mikoa ya NJOMBE, RUVUMA,MTWARA NA LINDI (NJORUMLI) waishio Mkoa wa Katavi jana 15-02-2014 walisherehekea kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014 kwa shangwe na shamrashamra katika ukumbi wa City Hotel mjini Mpanda wakiongozwa na mgeni rasmi Mhe Sebastian Kapufi (M/kiti wa H/mashauri wa zamani)
2.Wana-Njorumli wakiendeleza sebene
3.Wapenzi wa Njorumli wakiliendeleza rhumba
4.Bado wanaliendeleza.....
5.Katibu wa Njorumli akijitambulisha
6.Mhasibu akienda kuhudumia meza kuu wakati Mr. Dalla akisisitiza jambo
7.Mgeni rasmi Mhe. Sebastian Kapufi akitoa hotuba yake
8. Mama Chiwiko akitoa maombi
9.Katibu huyoo 10.Wanachama wakiliendeleza
No comments:
Post a Comment