Friday, April 11, 2014





 PICHA-1
Wakijadiliana wakati wa kikao-anaonekana dada Casiana na wenzake.








 PICHA-2
M/Mwenyekiti bw. Joseph Sangana akijiandaa kufungua kikao
 PICHA-3
Wanachama kiwemo Mama Mhagama ukianzia kushoto, Mrs. Haule (Mhasibu),Gabriel Mapunda na Mr. Matembo wakichambua stakabadhi zao za malipo kabla ya kikao kuanza.
  Picha zote na "Mwalimu Mzoefu Darasani" A.Haule (A-ONE) 

No comments:

Post a Comment