HEBU JARIBU KUFANYA MAMBO HAYO UPATE AFYA ISIYO NA SHIDA:
1.ACHANA NA SUKARI-TUMIA ASALI
2.KUNJWA MAJI YA MOTO AU VIGUVUGU-ASUBUHI,MCHANA NA JIONI
3.ACHANA NA MAJANI YA CHAI- TUMIA SOYA,MICHAICHAI,MAJANI YA NDIMU,LIMAU AU MDALASINI WA UNGA
4.ACHANA NA SODA NA POMBE- TUMIA JUISI HALISI
5.ACHANA NA NYAMA NYEKUNDU - TUMIA KUKU WA KIENYEJI,MBOGAMBOGA,JAMII ZOTE ZA KUNDE SAMAKI,DAGAA N.K
6.ACHANA NA VYAKULA VYA MAKOPO- TUMIA MBOGAMBOGA,MATUNDA,JUISI YA KAROTI NA VYAKULA VYA NAFAKA...….UPO HAPO JARIBU UONE KAMA UTAMKUMBUKA HATA DAKTARI...!!! NA Mwl.Mzoefu Darasani ( MMD)
Monday, June 6, 2016
Wednesday, March 23, 2016
MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUISHI MIAKA MINGI:
UNATAKA KUISHI MIAKA MINGI?....BASI UNALAZIMIKA KUFANYA HAYA:-
1.Kabili msongo wa mawazo:
3.Fanya mazoezi na pata usingizi wa kutosha:
Uzito mkubwa wa mafuta mengi ni nyumba ya magonjwa ya moyo...fanya mazoezi!!
4.Tabia zako/Ulaji wa yakula:
Tusipende kuvuta sigara,ulevi, ngono zembe,kula vyakula vya mafuta ya maji maji k.v nyama,tusile wanga kwa wingi.Kwa kufanya hivyo tutakaribisha;Bp,Stroke,Moyo,Kansa,Unene na Kisukari,Tule vyakula vya asili k,m,Mbogamboga,maji mengi,matunda kwa wingi
5.Dini:
Kujengwa kiroho,kumtumainia Mungu,kuhudhuria katika nyumba za ibada hurefusha maisha.
6.Kunywa maji mengi:
Maji mengi mwilini husafisha figo na ini na kuondoa uchafu uliomo.
N/B:- Ni matumaini yangu umeambulia kitu kwa siku ya leo,basi siku nyingine fungua Blog hii ya "Mwl Mzoefu Darasani' upate maarifa mapya ya kimaisha, kielimu na kiafya;;;;;Tchao...!!
(MMD)
1.Kabili msongo wa mawazo:
Usiwaze sana katika maisha yako ya kila siku jaribu kuridhika na unachokifanya na kukiamini.
2.Ishi maisha chanya/Kucheka:
Kulalamika kwa!kila jambo unakaribisha maradhi ya moyo..acha!3.Fanya mazoezi na pata usingizi wa kutosha:
Uzito mkubwa wa mafuta mengi ni nyumba ya magonjwa ya moyo...fanya mazoezi!!
4.Tabia zako/Ulaji wa yakula:
Tusipende kuvuta sigara,ulevi, ngono zembe,kula vyakula vya mafuta ya maji maji k.v nyama,tusile wanga kwa wingi.Kwa kufanya hivyo tutakaribisha;Bp,Stroke,Moyo,Kansa,Unene na Kisukari,Tule vyakula vya asili k,m,Mbogamboga,maji mengi,matunda kwa wingi
5.Dini:
Kujengwa kiroho,kumtumainia Mungu,kuhudhuria katika nyumba za ibada hurefusha maisha.
6.Kunywa maji mengi:
Maji mengi mwilini husafisha figo na ini na kuondoa uchafu uliomo.
N/B:- Ni matumaini yangu umeambulia kitu kwa siku ya leo,basi siku nyingine fungua Blog hii ya "Mwl Mzoefu Darasani' upate maarifa mapya ya kimaisha, kielimu na kiafya;;;;;Tchao...!!
(MMD)
Subscribe to:
Posts (Atom)