1.Kabili msongo wa mawazo:
Usiwaze sana katika maisha yako ya kila siku jaribu kuridhika na unachokifanya na kukiamini.
2.Ishi maisha chanya/Kucheka:
Kulalamika kwa!kila jambo unakaribisha maradhi ya moyo..acha!3.Fanya mazoezi na pata usingizi wa kutosha:
Uzito mkubwa wa mafuta mengi ni nyumba ya magonjwa ya moyo...fanya mazoezi!!
4.Tabia zako/Ulaji wa yakula:
Tusipende kuvuta sigara,ulevi, ngono zembe,kula vyakula vya mafuta ya maji maji k.v nyama,tusile wanga kwa wingi.Kwa kufanya hivyo tutakaribisha;Bp,Stroke,Moyo,Kansa,Unene na Kisukari,Tule vyakula vya asili k,m,Mbogamboga,maji mengi,matunda kwa wingi
5.Dini:
Kujengwa kiroho,kumtumainia Mungu,kuhudhuria katika nyumba za ibada hurefusha maisha.
6.Kunywa maji mengi:
Maji mengi mwilini husafisha figo na ini na kuondoa uchafu uliomo.
N/B:- Ni matumaini yangu umeambulia kitu kwa siku ya leo,basi siku nyingine fungua Blog hii ya "Mwl Mzoefu Darasani' upate maarifa mapya ya kimaisha, kielimu na kiafya;;;;;Tchao...!!
(MMD)
No comments:
Post a Comment