4.MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "D" HAWA NYOTA YAO NI "KAA" NA WANA TABIA ZIFUATAZO:-
- Hupenda usawa
- Hupenda biashara
- Hupenda kuamurisha wenzao
- Hupenda usafi
- Ni jeuri katika kauli zao
- Ni wenye msimamo katika mambo yao
5.MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "E" HAWA NYOTA YAO NI "SIMBA" NA WANA TABIA ZIFUATAZO:-
- Ni wenye roho nzuri
- Wenye mapenzi ya dhati
- Wenye huruma
- Hupenda uhuru katika mapenzi
- Ni wachangamfu
- Lakini ni vigeugeu
- Wenye mapenzi ya dhati
- Wenye huruma
- Wenye roho nzuri
- Wenye uwezo mkubwa wa kufariji wengine
- Ni watetezi wa watu
- Wenye huzuni
- Ni wazito wa kufanya maamuzi
.png)
.png)
.png)
.png)