Friday, November 22, 2013

NYOTA YAKO NI HII:

HEBU JITAMBUE WEWE NI MTU MWENYE TABIA GANI-TAZAMA NYOTA YAKO HAPA>>>
1: WENYE HERUFI-"A" KATIKA MAJINA YAKO YA KWANZA
Nyota yao ni "PUNDA" na wanasifa zifuatazo:-

  • Mwenye mambo makubwa
  • Wanajiamini
  •  Wana uwezo wa kutimiza malengo yao
  • Wenye tahadhari katika maisha
  • Washangamfu
  • Hupenda matukio
  • Hupenda kuheshimiwa
  • Hupenda mamlaka
  • Wana kiburi
  • Wana hasira
2: WENYE HERUFI-"B" KATIKA MAJINA YAO YA KWANZA
Nyota yao ni "NG'OMBE" na wana sifa zifuatazo:-
  • Wa karimu
  • Waaminifu
  • Hupenda kazi
  • Wajasiri
  • Ni shujaa
  • Ni katili katika vita na mali yao
3: WENYE HERUFI-"C" KATIKA MAJINA YAO YA KWANZA
Nyota yao ni "MAPACHA" na wana sifa zifuatazo:-
  • Ni watu wa kubadilika badilika
  • Ni washindani katika mambo
  • Hupigania malengo yao
  • Ni wabunifu
  • Hupenda mawasiliano katika mambo yao
ITAENDELEA...ENDELEA KUFUATILIA.....!!!!

No comments:

Post a Comment