Saturday, November 30, 2013

NYOTA YAKO HII HAPA

LEO TUNAENDELEA NA WALE WENYE MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "D" , "E" , NA "F"
4.MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "D" HAWA NYOTA YAO NI "KAA" NA WANA TABIA ZIFUATAZO:-

  • Hupenda usawa
  • Hupenda biashara
  • Hupenda kuamurisha wenzao
  • Hupenda usafi
  • Ni jeuri katika kauli zao
  • Ni wenye msimamo katika mambo yao
5.MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "E" HAWA NYOTA YAO NI "SIMBA" NA WANA TABIA ZIFUATAZO:-
  • Ni wenye roho nzuri
  • Wenye mapenzi ya dhati
  • Wenye huruma
  • Hupenda uhuru katika mapenzi
  • Ni wachangamfu
  • Lakini ni vigeugeu
6.MAJINA YANAYOANZA NAHERUFI "F" HAWA NYOTA YAO NI "MASHUKE" NA WANA TABIA ZIFUATAZO:-
  • Wenye mapenzi ya dhati
  • Wenye huruma 
  • Wenye roho nzuri
  • Wenye uwezo mkubwa wa kufariji wengine
  • Ni watetezi wa watu
  • Wenye huzuni
  • Ni wazito wa kufanya maamuzi

 

                             ........ITAENDELEA.....!!!! FUATANA NAMI..




1 comment:

  1. UNAJUA UKIFAHAMU WEWE UNATABIA GANI, UTAJUA NAMNA YA KUJIHADHARI-----SOMA NYOTA YAKO HAPA>>>anaclethaule.blogspot.com

    ReplyDelete