4: WENYE MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "D" NYOTA YAO NI "KAA"
Watu hawa wana sifa zifuatazo:-
- Hupenda usawa
- Hupenda biashara
- Hupenda kuamrisha
- Hupenda usafi
- Ni jeuri kwa kauli zao
- Ni wenye msimamo katika maisha yao ya kila siku
5: WENYE MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "E" NYOTA YAO NI "SIMBA"
Watu hawa wana sifa zifuatazo:-
- Wana roho nzuri
- Ni wenye mapenzi ya kweli
- Hupenda uhuru katika mapenzi
- Ni wachangamfu
- Na ni vigeugeu
6: WENYE MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "F" NYOTA YAO NI "MASHUKE"
Watu hawa wana sifa zifuztazo:-
No comments:
Post a Comment