Sunday, December 1, 2013

ENDELEA KUPATA NYOTA YAKO HAPA>>>>

LEO TUNAENDELEA NA HERUFI "G" , "H" , NA "I"........
7:MAJINA YANAYOANZA NA HERFI -G- HAWA NYOTA YAO NI "MIZANI" NA WANA  SIFA ZIFUATAZO:-

  • Wenye imani za kidini
  • Wenye nguvu za kiroho
  • Ni wabunifu
  • Wana uwezo wa kutatua matatizo ya watu
  • Wana hisia kali
  • Ni wasomi
  • Ni wapweke
  • Wakaidi wa kukubali ushauri wa watu
8: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI -H- HAWA NYOTA YAO NI "NGE" NA WANA SIFA ZIFUTAZO:-
  • Wabunifu
  • Wana nguvu katika biashara
  • Hupata faida kubwa kutoka na bidii zao
  • Wana mawazo mengi
  • Ni wachoyo
  • Ni wabishi.
9: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "I" HAWA NYOTA YAO NI "MSHALE" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Hupenda sheria
  • Wana huruma
  • Wana utu
  • Wakati mwingine hawajiamini
  • Wana hasira za haraka
                                       ...............TUWE PAMOJA ITAENDELEA.....!!! 
         

No comments:

Post a Comment