16: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "P" HAWA NYOTA YAO NI "KAA" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
- Wana uwezo wa kuamrisha
- Wana hekima kubwa
- Wana nguvu za kiroho
- Hupenda kujitumbukiza katika mambo ya watu
17: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "Q" HAWA NYOTA YAO NI "SIMBA" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
- Hupenda mambo ya asili
- Hawawezi kuelekeza
- Wana uwezo wa kuonesha vitu visivyoonekana
- Ni watu waliopooza sana
18: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "R" HAWA NYOTA YAO NI "MASHUKE" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
- Wenye uvumilivu mkubwa
- Wenye uvumilivu mkubwa
- Wana hasira za haraka
- Hupenda amani
No comments:
Post a Comment