Monday, December 16, 2013

NYOTA YAKO HII HAPA>>

LEO TUNAANGALIA NYOTA YA WALE WENYE MAJINA YANAANZA NA HERUFI  "S" HADI "Y"
19:MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "S" HAWA NYOTA YAO NI "MIZANI" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-

  • Ni wenye mvuto mkali wa kuleta utajiri
  • Wana maamuzi ya ghafla
  • Hupenda mageuzi makubwa
20: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "T" HAWA NYOTA YAO NI "NGE" NA WANASIFA ZIFUATAZO:-
  • Hupenda ushauri wa kiroho
  • Hutumia nguvu za ziada kusaidia watu
  • Hupata mafanikio baada ya muda mrefu
  • Wana hisia kali sana
  • Ni wepesi kushawishika
21: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "U" HAWA NYOTA YAO NI  "MSHALE" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Wenye bahati kubwa
  • Wanapenda uhuru katika mapenzi
  • Ni wabinafsi
  • Wenye tamaa
  • Hawana maamuzi
22: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "V" HAWA NYOTA YAO NI "MBUZI" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni wachapa kazi
  • Wenye bidii na wasiochoka
  • Hawatabiriki
23: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "W" HAWA NYOTA YAO NI "NDOO" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni wawazi
  • Wachangamfu kipita kiasi
  • Wana uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya
  • Ni wenye tamaa
  • Hufanya mambo ya hatari
24: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "X" HAWA NYTO YAO NI "SAMAKI NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Hawapendi vizuizi katika anasa
  • Ni rahisi kuziingiza katika uzinzi
  • Hujitoa katika uaminifu
25: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "Y" HAWA NYOTA YAO NI "PUNDA" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Hupenda uhuru
  • Hawapendi kupingwa kwa lolote
  • Hukosa uamuzi
  • Hupoteza bahati katika maisha
N/B:-Kama hukufuatilia herufi zilizo tangulia fungua Blog hii ya MWALIMU "MZOEFU DARASANI" uijue nyota yako-LIKE Blog hii upate kuyajua mengi
 ..............................KILA LA KHERI.....................BYE !!!

No comments:

Post a Comment