7:MAJINA YANAYOANZA NA HERFI -G- HAWA NYOTA YAO NI "MIZANI" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
- Wenye imani za kidini
- Wenye nguvu za kiroho
- Ni wabunifu
- Wana uwezo wa kutatua matatizo ya watu
- Wana hisia kali
- Ni wasomi
- Ni wapweke
- Wakaidi wa kukubali ushauri wa watu
8: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI -H- HAWA NYOTA YAO NI "NGE" NA WANA SIFA ZIFUTAZO:-
- Wabunifu
- Wana nguvu katika biashara
- Hupata faida kubwa kutoka na bidii zao
- Wana mawazo mengi
- Ni wachoyo
- Ni wabishi.
9: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "I" HAWA NYOTA YAO NI "MSHALE" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
No comments:
Post a Comment