Monday, December 2, 2013

NYOTA YAKO HII HAPA BADO INAENDELEA......

LEO TUANGALIE NYOTA ZA WALE WANAOANZA NA HERUFI  J , K , NA  L KATIKA MAJINA YAO YA KWANZA.

                                         MRS. HAULE
10: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "J" HAWA NYOTA YAO NI "MBUZI" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-

  • Ni wenye tamaa
  • Ni wakweli
  • Ni wakarimu
  • Ni waelevu wa mambo
  • Wasiokubali kushindwa
  • Hupata mafanikio makubwa
  • Wakati mwingine wanakuwa wavivu na waliokosa mwelekeo
11: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "K" HAWA NYOTA YAO NI  "NDOO" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni jeuri katika mambo yao
  • Wana msimamo thabiti
  • Ni mashuhuri
  • Wana uwezo mkubwa katika kushawishi
  • Huweza kuamsha hisia za watu
  • Wana uwezo mkubwa katika utambuzi
  • Hawaridhiki na hali ya maisha walionayo
12: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "L" HAWA NYOTA YAO NI "SAMAKI" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni watu wa matendo
  • Ni wenye hisani
  • Waliojipanga vizuri kimaisha
  • Hupata ajali mara kwa mara

                                      MR. HAULE
 .......FUATANA       NAMI           ITAENDELEA.......

No comments:

Post a Comment