Monday, June 9, 2014

Kawaida waakati wa likizo ni wakati wa mwanafunzi kupumzika na kumsaidia mazazi kazi ndogondogo za nyumbani,na wengine kwenda kuwatembelea ndugu na jamaa.Lakini baadhi ya wazazi wanawageuza watoto wa shule vitendea kazi kwa kufanya biashara ndogondogo eti ndiyo staili ya kumsaidia mzazi.
   Suala kipato cha familia ni jukumu la wewe mzazi na si vinginevyo mtoto wakati wake bado mwache apumzike na kujisomea----Msitulaumu walimu tu...."ELIMU YA MTOTO WAKO HUANZIA NYUMBANI" Mwalimu ni msaada tu

No comments:

Post a Comment