Unaweza ukasoma sana lakini maisha yako yakawa ya wastani tu,unaweza usiwe na elimu lakini ukawa a maisha mazuri.Lakini kumbuka watu wote duniani wameendelea kutokana na elimu na ndiyo maana elimu inasisitizwa.Sasa hihi nini maana yake?
Maana yake ni kwamba, "MAISHA MAZURI UNAWEZA KUYAPATA HATA KAMA HUNA ELIMU" Sasa kitaalamu sisi walimu tunasema hivi "ELIMU NI MUHIMU KATIKA KUENDELEA KUWA NA MAISHA MAZURI"
Kitu muhimu hapa ni kule KUENDELEA kuwa na maisha mazuri ndiko kunakohitaji elimu,na ndo maana tunahitaji elimu kwa kila jambo kwa lengo la kuendelea kuwa na maisha mazuri kwa maana hiyo,ukiwa na elimu toka mwanzo wa kutafuta maisha yako ni bora zaidi-kwani utakuwa umejijengea maisha bora na ENDELEVU.....!
........Ni ushauri tu ....Na Mwalimu Mzoefu Darasani"!!
No comments:
Post a Comment