Monday, December 16, 2013

NYOTA YAKO HII HAPA>>

LEO TUNAANGALIA NYOTA YA WALE WENYE MAJINA YANAANZA NA HERUFI  "S" HADI "Y"
19:MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "S" HAWA NYOTA YAO NI "MIZANI" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-

  • Ni wenye mvuto mkali wa kuleta utajiri
  • Wana maamuzi ya ghafla
  • Hupenda mageuzi makubwa
20: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "T" HAWA NYOTA YAO NI "NGE" NA WANASIFA ZIFUATAZO:-
  • Hupenda ushauri wa kiroho
  • Hutumia nguvu za ziada kusaidia watu
  • Hupata mafanikio baada ya muda mrefu
  • Wana hisia kali sana
  • Ni wepesi kushawishika
21: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "U" HAWA NYOTA YAO NI  "MSHALE" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Wenye bahati kubwa
  • Wanapenda uhuru katika mapenzi
  • Ni wabinafsi
  • Wenye tamaa
  • Hawana maamuzi
22: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "V" HAWA NYOTA YAO NI "MBUZI" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni wachapa kazi
  • Wenye bidii na wasiochoka
  • Hawatabiriki
23: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "W" HAWA NYOTA YAO NI "NDOO" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni wawazi
  • Wachangamfu kipita kiasi
  • Wana uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya
  • Ni wenye tamaa
  • Hufanya mambo ya hatari
24: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "X" HAWA NYTO YAO NI "SAMAKI NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Hawapendi vizuizi katika anasa
  • Ni rahisi kuziingiza katika uzinzi
  • Hujitoa katika uaminifu
25: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "Y" HAWA NYOTA YAO NI "PUNDA" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Hupenda uhuru
  • Hawapendi kupingwa kwa lolote
  • Hukosa uamuzi
  • Hupoteza bahati katika maisha
N/B:-Kama hukufuatilia herufi zilizo tangulia fungua Blog hii ya MWALIMU "MZOEFU DARASANI" uijue nyota yako-LIKE Blog hii upate kuyajua mengi
 ..............................KILA LA KHERI.....................BYE !!!

Wednesday, December 4, 2013

IJUE NYOTA YAKO LEO:

TUNAENDELEA TENA LEO KWA WALE WENYE MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "P" "Q" NA "R"
16: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "P" HAWA NYOTA YAO NI "KAA" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-

  • Wana uwezo wa kuamrisha
  • Wana hekima kubwa
  • Wana nguvu za kiroho
  • Hupenda kujitumbukiza katika mambo ya watu
17: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI  "Q" HAWA NYOTA YAO NI "SIMBA" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Hupenda mambo ya asili
  • Hawawezi kuelekeza
  • Wana uwezo wa kuonesha vitu visivyoonekana
  • Ni watu waliopooza sana
18: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "R" HAWA NYOTA YAO NI "MASHUKE" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Wenye uvumilivu mkubwa
  • Wenye uvumilivu mkubwa
  • Wana hasira za haraka
  • Hupenda amani

IJUE NYOTA YAKO LEO:

Tuesday, December 3, 2013

NYOTA YAKO HII HAPA INAENDELEA>>

LEO TUNAENDELEA NA MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "M", "N", NA "O"

13: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "M" HAWA NYOTA YAO NI "PUNDA" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Hujiamini sana
  • Wachapa kazi
  • Hupata mawasiliano
  • Ni waropokaji
  • Ni wenye haraka
  • Ni wepesi kukarisika
14: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "N" HAWA NYOTA YAO NI "NG'OMBE" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Wabunifu
  • Wana hisia kali
  • Wanaofanya mambo yao kwa mawasiliano
  • Wana wivu sana     
15: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "O" HAWA NYOTA YAO NI "MAPACHA" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni wenye subira
  • Wavumilivu
  • Wenye bidii ya kusoma
  • Hupenda kuitumikia jamii
  • Wana uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia zao

Monday, December 2, 2013

MWALIMU-"MZOEFU DARASANI": NYOTA YAKO HII HAPA BADO INAENDELEA......

MWALIMU-"MZOEFU DARASANI": NYOTA YAKO HII HAPA BADO INAENDELEA......: LEO TUANGALIE NYOTA ZA WALE WANAOANZA NA HERUFI  J , K , NA  L KATIKA MAJINA YAO YA KWANZA.                                          M...

NYOTA YAKO HII HAPA BADO INAENDELEA......

LEO TUANGALIE NYOTA ZA WALE WANAOANZA NA HERUFI  J , K , NA  L KATIKA MAJINA YAO YA KWANZA.

                                         MRS. HAULE
10: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "J" HAWA NYOTA YAO NI "MBUZI" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-

  • Ni wenye tamaa
  • Ni wakweli
  • Ni wakarimu
  • Ni waelevu wa mambo
  • Wasiokubali kushindwa
  • Hupata mafanikio makubwa
  • Wakati mwingine wanakuwa wavivu na waliokosa mwelekeo
11: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "K" HAWA NYOTA YAO NI  "NDOO" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni jeuri katika mambo yao
  • Wana msimamo thabiti
  • Ni mashuhuri
  • Wana uwezo mkubwa katika kushawishi
  • Huweza kuamsha hisia za watu
  • Wana uwezo mkubwa katika utambuzi
  • Hawaridhiki na hali ya maisha walionayo
12: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "L" HAWA NYOTA YAO NI "SAMAKI" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni watu wa matendo
  • Ni wenye hisani
  • Waliojipanga vizuri kimaisha
  • Hupata ajali mara kwa mara

                                      MR. HAULE
 .......FUATANA       NAMI           ITAENDELEA.......

Sunday, December 1, 2013

MWALIMU-"MZOEFU DARASANI": ENDELEA KUPATA NYOTA YAKO HAPA>>>>

MWALIMU-"MZOEFU DARASANI": ENDELEA KUPATA NYOTA YAKO HAPA>>>>: LEO TUNAENDELEA NA HERUFI "G" , "H" , NA "I"........ 7:MAJINA YANAYOANZA NA HERFI -G- HAWA NYOTA YAO NI &quot...

ENDELEA KUPATA NYOTA YAKO HAPA>>>>

LEO TUNAENDELEA NA HERUFI "G" , "H" , NA "I"........
7:MAJINA YANAYOANZA NA HERFI -G- HAWA NYOTA YAO NI "MIZANI" NA WANA  SIFA ZIFUATAZO:-

  • Wenye imani za kidini
  • Wenye nguvu za kiroho
  • Ni wabunifu
  • Wana uwezo wa kutatua matatizo ya watu
  • Wana hisia kali
  • Ni wasomi
  • Ni wapweke
  • Wakaidi wa kukubali ushauri wa watu
8: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI -H- HAWA NYOTA YAO NI "NGE" NA WANA SIFA ZIFUTAZO:-
  • Wabunifu
  • Wana nguvu katika biashara
  • Hupata faida kubwa kutoka na bidii zao
  • Wana mawazo mengi
  • Ni wachoyo
  • Ni wabishi.
9: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "I" HAWA NYOTA YAO NI "MSHALE" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Hupenda sheria
  • Wana huruma
  • Wana utu
  • Wakati mwingine hawajiamini
  • Wana hasira za haraka
                                       ...............TUWE PAMOJA ITAENDELEA.....!!!