Monday, December 16, 2013

NYOTA YAKO HII HAPA>>

LEO TUNAANGALIA NYOTA YA WALE WENYE MAJINA YANAANZA NA HERUFI  "S" HADI "Y"
19:MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "S" HAWA NYOTA YAO NI "MIZANI" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-

  • Ni wenye mvuto mkali wa kuleta utajiri
  • Wana maamuzi ya ghafla
  • Hupenda mageuzi makubwa
20: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "T" HAWA NYOTA YAO NI "NGE" NA WANASIFA ZIFUATAZO:-
  • Hupenda ushauri wa kiroho
  • Hutumia nguvu za ziada kusaidia watu
  • Hupata mafanikio baada ya muda mrefu
  • Wana hisia kali sana
  • Ni wepesi kushawishika
21: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "U" HAWA NYOTA YAO NI  "MSHALE" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Wenye bahati kubwa
  • Wanapenda uhuru katika mapenzi
  • Ni wabinafsi
  • Wenye tamaa
  • Hawana maamuzi
22: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "V" HAWA NYOTA YAO NI "MBUZI" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni wachapa kazi
  • Wenye bidii na wasiochoka
  • Hawatabiriki
23: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "W" HAWA NYOTA YAO NI "NDOO" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni wawazi
  • Wachangamfu kipita kiasi
  • Wana uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya
  • Ni wenye tamaa
  • Hufanya mambo ya hatari
24: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "X" HAWA NYTO YAO NI "SAMAKI NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Hawapendi vizuizi katika anasa
  • Ni rahisi kuziingiza katika uzinzi
  • Hujitoa katika uaminifu
25: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "Y" HAWA NYOTA YAO NI "PUNDA" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Hupenda uhuru
  • Hawapendi kupingwa kwa lolote
  • Hukosa uamuzi
  • Hupoteza bahati katika maisha
N/B:-Kama hukufuatilia herufi zilizo tangulia fungua Blog hii ya MWALIMU "MZOEFU DARASANI" uijue nyota yako-LIKE Blog hii upate kuyajua mengi
 ..............................KILA LA KHERI.....................BYE !!!

Wednesday, December 4, 2013

IJUE NYOTA YAKO LEO:

TUNAENDELEA TENA LEO KWA WALE WENYE MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "P" "Q" NA "R"
16: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "P" HAWA NYOTA YAO NI "KAA" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-

  • Wana uwezo wa kuamrisha
  • Wana hekima kubwa
  • Wana nguvu za kiroho
  • Hupenda kujitumbukiza katika mambo ya watu
17: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI  "Q" HAWA NYOTA YAO NI "SIMBA" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Hupenda mambo ya asili
  • Hawawezi kuelekeza
  • Wana uwezo wa kuonesha vitu visivyoonekana
  • Ni watu waliopooza sana
18: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "R" HAWA NYOTA YAO NI "MASHUKE" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Wenye uvumilivu mkubwa
  • Wenye uvumilivu mkubwa
  • Wana hasira za haraka
  • Hupenda amani

IJUE NYOTA YAKO LEO:

Tuesday, December 3, 2013

NYOTA YAKO HII HAPA INAENDELEA>>

LEO TUNAENDELEA NA MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "M", "N", NA "O"

13: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "M" HAWA NYOTA YAO NI "PUNDA" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Hujiamini sana
  • Wachapa kazi
  • Hupata mawasiliano
  • Ni waropokaji
  • Ni wenye haraka
  • Ni wepesi kukarisika
14: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "N" HAWA NYOTA YAO NI "NG'OMBE" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Wabunifu
  • Wana hisia kali
  • Wanaofanya mambo yao kwa mawasiliano
  • Wana wivu sana     
15: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "O" HAWA NYOTA YAO NI "MAPACHA" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni wenye subira
  • Wavumilivu
  • Wenye bidii ya kusoma
  • Hupenda kuitumikia jamii
  • Wana uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia zao

Monday, December 2, 2013

MWALIMU-"MZOEFU DARASANI": NYOTA YAKO HII HAPA BADO INAENDELEA......

MWALIMU-"MZOEFU DARASANI": NYOTA YAKO HII HAPA BADO INAENDELEA......: LEO TUANGALIE NYOTA ZA WALE WANAOANZA NA HERUFI  J , K , NA  L KATIKA MAJINA YAO YA KWANZA.                                          M...

NYOTA YAKO HII HAPA BADO INAENDELEA......

LEO TUANGALIE NYOTA ZA WALE WANAOANZA NA HERUFI  J , K , NA  L KATIKA MAJINA YAO YA KWANZA.

                                         MRS. HAULE
10: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "J" HAWA NYOTA YAO NI "MBUZI" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-

  • Ni wenye tamaa
  • Ni wakweli
  • Ni wakarimu
  • Ni waelevu wa mambo
  • Wasiokubali kushindwa
  • Hupata mafanikio makubwa
  • Wakati mwingine wanakuwa wavivu na waliokosa mwelekeo
11: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "K" HAWA NYOTA YAO NI  "NDOO" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni jeuri katika mambo yao
  • Wana msimamo thabiti
  • Ni mashuhuri
  • Wana uwezo mkubwa katika kushawishi
  • Huweza kuamsha hisia za watu
  • Wana uwezo mkubwa katika utambuzi
  • Hawaridhiki na hali ya maisha walionayo
12: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "L" HAWA NYOTA YAO NI "SAMAKI" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Ni watu wa matendo
  • Ni wenye hisani
  • Waliojipanga vizuri kimaisha
  • Hupata ajali mara kwa mara

                                      MR. HAULE
 .......FUATANA       NAMI           ITAENDELEA.......

Sunday, December 1, 2013

MWALIMU-"MZOEFU DARASANI": ENDELEA KUPATA NYOTA YAKO HAPA>>>>

MWALIMU-"MZOEFU DARASANI": ENDELEA KUPATA NYOTA YAKO HAPA>>>>: LEO TUNAENDELEA NA HERUFI "G" , "H" , NA "I"........ 7:MAJINA YANAYOANZA NA HERFI -G- HAWA NYOTA YAO NI &quot...

ENDELEA KUPATA NYOTA YAKO HAPA>>>>

LEO TUNAENDELEA NA HERUFI "G" , "H" , NA "I"........
7:MAJINA YANAYOANZA NA HERFI -G- HAWA NYOTA YAO NI "MIZANI" NA WANA  SIFA ZIFUATAZO:-

  • Wenye imani za kidini
  • Wenye nguvu za kiroho
  • Ni wabunifu
  • Wana uwezo wa kutatua matatizo ya watu
  • Wana hisia kali
  • Ni wasomi
  • Ni wapweke
  • Wakaidi wa kukubali ushauri wa watu
8: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI -H- HAWA NYOTA YAO NI "NGE" NA WANA SIFA ZIFUTAZO:-
  • Wabunifu
  • Wana nguvu katika biashara
  • Hupata faida kubwa kutoka na bidii zao
  • Wana mawazo mengi
  • Ni wachoyo
  • Ni wabishi.
9: MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "I" HAWA NYOTA YAO NI "MSHALE" NA WANA SIFA ZIFUATAZO:-
  • Hupenda sheria
  • Wana huruma
  • Wana utu
  • Wakati mwingine hawajiamini
  • Wana hasira za haraka
                                       ...............TUWE PAMOJA ITAENDELEA.....!!! 
         

Saturday, November 30, 2013

NYOTA YAKO HII HAPA

LEO TUNAENDELEA NA WALE WENYE MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "D" , "E" , NA "F"
4.MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "D" HAWA NYOTA YAO NI "KAA" NA WANA TABIA ZIFUATAZO:-

  • Hupenda usawa
  • Hupenda biashara
  • Hupenda kuamurisha wenzao
  • Hupenda usafi
  • Ni jeuri katika kauli zao
  • Ni wenye msimamo katika mambo yao
5.MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "E" HAWA NYOTA YAO NI "SIMBA" NA WANA TABIA ZIFUATAZO:-
  • Ni wenye roho nzuri
  • Wenye mapenzi ya dhati
  • Wenye huruma
  • Hupenda uhuru katika mapenzi
  • Ni wachangamfu
  • Lakini ni vigeugeu
6.MAJINA YANAYOANZA NAHERUFI "F" HAWA NYOTA YAO NI "MASHUKE" NA WANA TABIA ZIFUATAZO:-
  • Wenye mapenzi ya dhati
  • Wenye huruma 
  • Wenye roho nzuri
  • Wenye uwezo mkubwa wa kufariji wengine
  • Ni watetezi wa watu
  • Wenye huzuni
  • Ni wazito wa kufanya maamuzi

 

                             ........ITAENDELEA.....!!!! FUATANA NAMI..




Sunday, November 24, 2013

NYOTA YAKO NI HII

LEO TUNAENDELEA NA NYOTA KWA WALE WENYE MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI D,E NA F
4: WENYE MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "D" NYOTA YAO NI "KAA"
Watu hawa wana sifa zifuatazo:-

  • Hupenda usawa
  • Hupenda biashara
  • Hupenda kuamrisha
  • Hupenda usafi
  • Ni jeuri kwa kauli zao
  • Ni wenye msimamo katika maisha yao ya kila siku
5: WENYE MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "E" NYOTA YAO NI "SIMBA"
Watu hawa wana sifa zifuatazo:-
  • Wana roho nzuri
  • Ni wenye mapenzi ya kweli
  • Hupenda uhuru katika mapenzi
  • Ni wachangamfu
  • Na ni vigeugeu
6: WENYE MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI "F" NYOTA YAO NI "MASHUKE"
Watu hawa wana sifa zifuztazo:-
  • Wenye mapenzi ya kweli
  • Ni wenye huruma kwa wenzao
  • Wenye roho nzuri
  • Wenye uwezo wa kufariji watu
  • Ni watetezi wa watu
  • Ni wenye huzuni
  • Ni wazito katika kuamua mambo
                                    FUATANA NAMI ITAENDELEA........!!!!

Friday, November 22, 2013

NYOTA YAKO NI HII:

HEBU JITAMBUE WEWE NI MTU MWENYE TABIA GANI-TAZAMA NYOTA YAKO HAPA>>>
1: WENYE HERUFI-"A" KATIKA MAJINA YAKO YA KWANZA
Nyota yao ni "PUNDA" na wanasifa zifuatazo:-

  • Mwenye mambo makubwa
  • Wanajiamini
  •  Wana uwezo wa kutimiza malengo yao
  • Wenye tahadhari katika maisha
  • Washangamfu
  • Hupenda matukio
  • Hupenda kuheshimiwa
  • Hupenda mamlaka
  • Wana kiburi
  • Wana hasira
2: WENYE HERUFI-"B" KATIKA MAJINA YAO YA KWANZA
Nyota yao ni "NG'OMBE" na wana sifa zifuatazo:-
  • Wa karimu
  • Waaminifu
  • Hupenda kazi
  • Wajasiri
  • Ni shujaa
  • Ni katili katika vita na mali yao
3: WENYE HERUFI-"C" KATIKA MAJINA YAO YA KWANZA
Nyota yao ni "MAPACHA" na wana sifa zifuatazo:-
  • Ni watu wa kubadilika badilika
  • Ni washindani katika mambo
  • Hupigania malengo yao
  • Ni wabunifu
  • Hupenda mawasiliano katika mambo yao
ITAENDELEA...ENDELEA KUFUATILIA.....!!!!

Saturday, November 2, 2013

USHAURI KWA WAZIRI WA ELIMU KATIKA KUBORESHA ELIMU YA TANZANIA IFANANE NA YA A/MASHARIKI:

KUREKEBISHA VIWANGO VYA MADARAJA KWA KIDATO CHA NNE NA SITA PEKEE HAISAIDII.
      KAMA MWALIMU MZOEFU-DARASANI KWA SHULE ZA MSINGI, LUGHA IMEKUWA KIKWAZO KWA WATOTO KUINGIA SEKONDARI NA KUFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YAO.KENYA NA UGANDA HAWATUSHINDI KWA TAALUMA, BALI LUGHA YA KIINGEREZA INAYOMFANYA MTOTO WA KITANZANIA ASHINDWA KUYAPATA MASOMO YA SEKONDARI KIKAMILIFU.
     HOJA YANGU HAPA KWAKO WAZIRI WA ELIMU NA WADAU WA ELIMU YA TANZANIA KWA UJUMLA NI KUKAA CHINI NA KUAMUA SHULE ZOTE ZA MSINGI ZA SERIKALI KUANZIA CHEKECHEA ZIFUNDISHWE KWA KIINGEREZA.
    MIMI NAAMINI HATUTAKWENDA SHULE ZA BINAFSI KWANI SHULE ZA SERIKALI NAZO ZITAKUWA NA TAALUMA YA KUTOSHA KWA LUGHA YA KIINGEREZA.
     HEBU TAZAMA, OFISI ZINAENDESHWA KWA KIINGEREZA, KAZI UNAOMBA KWA KIINGEREZA,RIPOTI MBALIMBALI TUNAZIANDIKA KWA KIINGEREZA, LAKINI ETI ELIMU YETU INATOLEWA KWA KIINGEREZA.HEBU TUSHIRISHENI SISI WALIMU WENYEWE TUNAOFUNDISHA DARASANI TUWAELZENI HALI HALISI.TUNAKOKWENDA SASA KATIKA ELIMU SIO KABISA.KILA KITU KIINGEREZA, UNAMPATIA MTOTO KOMPYUTA, JE IMEANDIKWA KWA KISWAHILI? NENDA KWA MAJIRANI ZETU WA RWANDA SASA KILA WANAFUNZI NA KOMPYUTA YAKE KWA KUWA KIINGEREZA WANAJUA.
     HATA MKIMWAGA VITABU VINGI SHULENI MAMBO YATABAKI VILE VILE. TAFADHARI SIKILIZENI USHAURI WETU SISI WALIMU WA DARASANI.

.............NI USHAURI TU............Na Mwalimu mzoefu darasani........!!!!

Tuesday, October 1, 2013

KUSHUKA KWA UFAULU WA WANAFUNZI DARASA LA SABA-2012

UNAFAHAMU NINI...... WIKI ILIYOITA TULIONA KUWA KUNA SABABU KUU TANO(5) AMBAZO ZIMEGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI : KUNA ZILE ZINAZOMUHUSU:
  1.  MZAZI
  2. MWANAFUNZI
  3. MWALIMU
  4. SERIKALI
  5. LUGHA YA KUFUNDISHIA
WIKI ILIYOPITA TULIANGALIA UPANDE WA MZAZI, LEO TUTAANGALIA UPANDE WA MWANAFUNZI;
  •  Mwanafunzi si kwamba anapoingia darasani hana chochote kichwani hapana bali ili uwezo na maarifa aliyonayo aweze kuyatoa kinahitajika kiunganishi kiitwacho LUGHA Kama hakuna lugha anayoielewa yeye na yule anayemfundisha wakaelewana basi hata utumia mitambo na mbinu yoyote ile huwezi kumwelekeza mwanafunzi akaelewa na yeye akajieleza na kutoa aliyonayo.Kwa maana nyingine kitaalam tunasema hapo hakuna "TENDO LA KUJIFUNZA"
  • Ushauri kwa wanaohusika na wadau wote wa elimu kwa ujumla kuchukua uamuzi mgumu ~ KUJIPANGA NA KUBADILI LUGHA YA KUFUNDISHIA SHULE ZA MSINGI ILI IENDANE NA ILE YA SHULE ZA MSINGI-YAANI "KIINGEREZA"
                                          ....Ni ushauri tu.......Mwl.Mzoefu darasani...!!!

Saturday, September 28, 2013

KUSHUKA KWA UFAULU DARASA LA SABA -2012 NA NAMNA YA KUPANDISHA:

UNAFAHAMU NINI.......KUNA MAMBO MAKUU MATANO YA MSINGI YAFUATAYO:-  
  1. Upande wa mzazi
  2. Upande wa mwanafunzi
  3. Upande wa mwalimu
  4. Upande wa serikali
  5. Upande wa lugha ya kufundishia
LEO NIZUNGUMZIE UPANDE WA MZAZI KAMA SEHEMU MOJAWAPO YA MAFANIKIO YA MWANAFUNZI. MZAZI ANAPASWA KWAJIBIKA KWA MTOTO WAKE KATIKA HAYA YAFUATAYO:-
  •  Kumpatia mwanae mahitaji ya msingi kama vile; chakula, mavazi, malazi na vifaa vya shule.
  • Kumtia moyo na hamasa ya kuhudhuria shule kwa kumweleza manufaa yake hapo baadaye.
  • Kufuatilia maendeleo ya mwanae
  • Kutoa ushirikiana kwa mwalimu wa mwanae.
  • Kushiriki katika mipango ya kitaaluma shuleni
  TUKUTANE KESHO, KWA UPANDE WA MWANAFUNZI.......
...............Ni ushauri tu.................
Mzazi-Mwanafunzi-Mwalimu-Serikali-Lugha ya kufundishia vifanye kazi kama timu ufaulu utaongezeka.......".MWALIMU MZOEFU DARASANI"..........!!!